Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
.
Tunahitaji great thinker tu km huna hoja changanya mbarigaAje atetee super power yake getoni kwako
umepotea jukwa dogo, hapa sio MMU.Aje atetee super power yake getoni kwako
Wakubwa zake ndio akina nani hao?Awe super power mara ngapi? tayari US ni super power anachosubiri ni kupewa order na wakubwa zake...Unajua nini, US anatumika kama fimbo ya kuwachapa wengine na amefanywa hivyo makusudi. US anasubiri wakati wake tu afanye mambo
Multipolar ndio michafuko itazidi, maana mataifa duni yatakuwa na ally tofauti kati ya hao multipolar, so kutakua na muingiliano mkubwa sana, kipindi ussr ilipoanguka na marekani akawa na nguvu pekee kuwaacha mbali wenzie ndio kipindi ambacho dunia ikawa stable kwa kiasi fulani.Mi naona ni bora kuwe na multipolar, kwa sababu sasa hivi tupo bipolar na migogoro aichwi kila uchwao! Kuwa na taifa moja leading kutaleta ile hali ya kutoheshimu sovereignty ya mataifa machanga na uwezo duni wa kijeshi na kiuchumi
unawaza kama mie, nilikua naona aanze na yule mkorea wa nyuklia kwanza.mkojo ni dawa nzuri tu ya kikohozi. so for now hakuna namna. marekani ajipange kumkojolea kila anayejifanya kukohoa.
Ni kweli mkuu na wengi hawaelewi kwamba kuparanganyika kwa middle east...europe na kwingineko ni nafuu kwa mmarekan manake yeye anaemdelea kusonga mbele..wala hataman aman iwepo hata kidogo...ukiwa hauna aman huwez kuwaza kujenga..utawaza wakati una aman kichwan....kwa hio ninashangaa wengi wanavyosema mbona iraq mpaka leo haina aman..libya nk..yeye hayo ndio malengo yake japo aliingilia mlango wa nyumaMwaka 1945 USA, UK, na USSR zote zilikuwa super powers.
Kilichofuata US, aliwafitini wenzake na kuwaporomosha ili abaki peke yake.
Kwa jinsi hali ilivyo, kuliko US ashushwe kutoka hapo alipo, ataanzisha vita vinavyoweza kusababisha extinction ya baadhi ya species akiwemo binadamu.
Asee hayo ndo maneno, 100% kweli.Ni kweli mkuu na wengi hawaelewi kwamba kuparanganyika kwa middle east...europe na kwingineko ni nafuu kwa mmarekan manake yeye anaemdelea kusonga mbele..wala hataman aman iwepo hata kidogo...ukiwa hauna aman huwez kuwaza kujenga..utawaza wakati una aman kichwan....kwa hio ninashangaa wengi wanavyosema mbona iraq mpaka leo haina aman..libya nk..yeye hayo ndio malengo yake japo aliingilia mlango wa nyuma
era tuliyopo sasa hivi ni ngumu sana kwa super power makini kama marekani kushuka ngazi kizembe zembe kama hivyo. kivyovyote vile lazima zitachezwa za nyuklia (world war 3)Na yeye atapita tu walikuwepo wenye nguvu tena waliitawala dunia GREAT BRITAIN OTTOMAN EMPIRE NK ila sasa wako wapi