Obama aliwahi kuwa mvutaji bangi, akaacha na kuamua kuwa makini na masomo yake ya sheria katika Chuo Kikuu cha Harvard, alisoma na kufanya kazi kwa bidii hadi pale alipofanikiwa kuchaguliwa kuwa...
Trump said;
,, Unfortunately, the budget that we’re inheriting, essentially inheriting is a mess. The finances of our country are a mess, but we’re going to clean them up. Things that we’ve been...
Stockholm, Sweden (CNN)
Riots broke out in a predominantly immigrant neighborhood of Stockholm Monday night, as residents clashed with police officers and set vehicles on fire, Swedish police say...
Rais Barrow wa Gambia ameanza kuweka mizizi ya utawala wake. Baada ya kuwakamata na kuwaweka ndani wakuu wa ZAMANI usalama wa taifa (NIA) waliokuwa wakitumiwa sana na serikali ya zamani katika...
Wanatumia Dollar bilioni 600 kila mwaka kwenye masuala ya kijeshi, hii ni sawa na T.shs Trillion 1,300. Ikumbukwe bajeti ya Tanzania halisi huwa ni kama Trillion 15 tu, kwahiyo bajeti ya jeshi lao...
Kaulimbiu ya taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu)
Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu Jund Allah Jund Al-watan ("Sisi ni Jeshi ya Mungu na Nchi yetu")
Mji mkuu Khartoum
15°00′ N...
1 | P a g e
REF: EALS/HLD/01/17 22
nd February 2017
Hon. Dr. Harrison George Mwakyembe
Minister of Constitutional Affairs and Justice
The United Republic of Tanzania
11484 Dar es Salaam
Hon...
Mugabe amesema katika kuadhimisha miaka yake 93 hana mpango wa kuachia madaraka bado mana hajaona wa kurithi nafasi yake na chama chake hakijampata mrithi wake
Watunga Sheria wa USA wanataka kuanzisha uchunguzi kuhusiana na Raisi Obama kusaini kuizuia nchi ya Kenya siku ya mwisho kabla hajaondoka madarakani Silaha za thamani ya zaidi ya Dola (US) milioni...
ZIMBABWE: Umoja wa Ulaya(EU) umeongeza muda wa vikwazo kwa Rais Robert Mugabe na Mkewe, Grace kwa mwaka 1 hadi Februari 20, 2018.
Rais Mugabe ameongoza kuwa hakutaka Donald Trump awe rais wa...
Habari zenu watanzania
Kwanza napenda kudeclare wazi kuwa sina mashiko na ajenda za raisi wa marekani ndugu trump lakini pia sipo hapa kuzungumzia hii mada kwaajiri ya trump ila sisi watanzania...
Bunge la chini nchini Uholanzi limeidhinisha kuhalalishwa kwa kilimo cha bangi.
Mswada huo ulioidhinishwa, utawakinga wakulima wa bangi ambao wanatimiza masharti fulani dhidi ya kuadhibiwa...
Wednesday, October 31, 2012
KIONGOZI WA UPINZANI, RWANDA APATIKANA NA KOSA LA UHAINI
Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire (mwenye pingu) amehukumiwa miaka minane gerezani...
Raisi wa 45 D.Trump amesema (kuanzia ~ dakika 1:00) Raisi aliyepita Barack Obama ameacha uozo mkubwa haijawahi kutokea, amesema Obama ameacha uozo ndani na nje ya USA!
Imefikia hatua Afrika kila mtu arudi kwao, haijalishi tena una vibali halali au la, watu wanakuibukia na kuharibu kila kitu, wanakupea kichapo na kuchana vibali na kuiba chochote cha thamani.
Nchi...
- Mchunguji mmoja aliponea chupuchupu baada ya kushambuliwa na umati kwa madai ya kuuzia watoto wa shule dawa za kulevya
- Umati huo ulifika kwa lango la kanisa lake na kutaka kumwona lakini...
Jeshi la China limetangaza kuwa, kuendelea kuwa mbaya hali ya mambo kuhusiana na usalama wa bahari ya eneo, machafuko katika eneo la Asia na Bahari ya Pasifiki na kadhalika misimamo tata ya rais...
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)!
Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi...
Maneno hayo yamesemwa na Mmiliki wa Microsoft Na tajiri namba moja duniani Bwana Bill Gates,
Anasema,"inabidi kuwe na kodi iendanayo na Ujiendeshaji,kwa sasa,mfanyakazi binadamu,anayefanya kazi...