Kusherekea siku ya uhuru nchini Sudan Kaskazini

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
211
Kaulimbiu ya taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu)
Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu Jund Allah Jund Al-watan ("Sisi ni Jeshi ya Mungu na Nchi yetu")

Mji mkuu Khartoum
15°00′ N 30°00′ E
Mji mkubwa nchini Omdurman
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali
Rais

Omar al-Bashir
Uhuru
- Tarehe Kutoka Misri na Uingereza
1 Januari 1956
Eneo
- Jumla
- Maji (%)
1,886,068 km² (ya 16)
5%
Idadi ya watu
- Julai 2015 kadirio
- 2008 sensa
- Msongamano wa watu
40,235,000 (ya 35)
30,894,000
16.4/km² (195)
Fedha Dinar (SDD)
Saa za eneo
- Kiangazi (DST) MSK (UTC+3)
not observed (UTC+3)
Intaneti TLD .sd
Kodi ya simu +249
-
NEMBO YA NCHI
86f0940e6d0c436c686be5ca5037a57c.jpg


BENDERA YA SUDAN
e2151804364b7f10c66b954a4910e690.jpg


Ramani ya Sudan ikionyesha majimbo yake
4197c26259154fda004fcacf2b2b759c.jpg

Jamhuri ya Sudan ama Sudan ili kuwa ni nchi ya tatu kwa ukubwa katika bara la Afrika na ya kumi na sita duniani
7456049d7333e0ab078305fd7da6d145.jpg

Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Sudan Kusini kusini-mashariki, Afrika ya Kati na Chadi magharibi, na Libya kaskazini-magharibi.
AHSANTE
 
Back
Top Bottom