Kwa jinsi mambo yanavyoendelea kujitokeza eg balozi wa korea kask. kukataa uchunguzi uliofanywa na malysia na pyongyang kusema kwamba huyo marehemu hawamtambui, dunia inapewa ushahidi kwamba kifo cha huyo bwana kim jong nam kilipangwa na korea kask.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.