Obama selling weapons to Kenya- Congressmen Investgate corruption!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Obama-Kenya-Reuters-640x480.jpg

Watunga Sheria wa USA wanataka kuanzisha uchunguzi kuhusiana na Raisi Obama kusaini kuizuia nchi ya Kenya siku ya mwisho kabla hajaondoka madarakani Silaha za thamani ya zaidi ya Dola (US) milioni 400 ambapo kuna madai kwamba Uongozi wa Obama umezidisha bei kwa kiasi kikubwa sana na kupiga cha juu!!

Congressmen hao wanasema kwamba kulikuwa na corruprion kubwa kwenye hilo dili kwani bei imeongezwa mno na kwamba Obama ameipa tenda Kampuni ijulikanyo kama L3 iliyo Mjini New York na kwa mujibu wa watunga sheria hao kampuni hiyo ambayo haijawahi kuunda chombo chochote cha kivita ktk Historia yake, sasa wanahoji uhalali wa Kampuni hiyo kupewa tenda hiyo na Obama!

Budd Leads Fight Against Kenyan Sale
 
Hapo kwa red: nadhani ulilenga .....kuiuzia.....
Tulia unapoandika!
Ahsante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom