Fikiri juu ya hili unaweza kubadilika

herman kajiru

Member
Jan 21, 2017
72
52
Obama aliwahi kuwa mvutaji bangi, akaacha na kuamua kuwa makini na masomo yake ya sheria katika Chuo Kikuu cha Harvard, alisoma na kufanya kazi kwa bidii hadi pale alipofanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais wa kwanza Mwafrika na Mmarekani mweusi (Black African-American President) katika shule ya sheria ya Harvard (Harvard Law School). Alipata kazi nzuri katika taasisi moja ya sheria (Legal firm) mjini Chicago na hapo ndipo alipokutana na Bi. Michelle Robinson (Mkewe kwa sasa), walifanya kazi pamoja, wakaanzisha na kuingia kwenye mahusiano mubashara (serious relationship) na hatimaye walioana. Baadae, Michelle alimshinikiza Obama kuingia kwenye siasa ambapo kwa Mara nyingine tena alijenga historia ya kuwa Rais wa kwanza Mmarekani mweusi katika taifa kubwa duniani la Amerika.

Kwa kifupi, Mshkaji wangu;tafuta mwanamke ambaye atasaidia kukua na kuendelea kwako katika maisha na siyo hawa wanawake majambazi wa kula pizza tu wasio na ndoto za maisha ya sasa na ya baadae. Nasisitiza,kuwa makini mshkaji wangu ...... !

Mfuko mmoja wa Siment unauzwa hadi Tsh. 15,000/- na Pizza inauzwa hadi Tsh. 35,000/-. Wakati huo girlfriend/demu wako ana-demand umnunulie Pizza kila siku au hata kila baada ya siku mbili/tatu.

My brother, piga magoti popote ulipo tuombe ukielekeza mikono yako upande alipo girlfriend/demu wako na urudie ninayo sema/andika ....
. Baba yetu, baba uliye mbinguni .....
. Msichana/demu yeyote anaye kula ghorofa/mansion langu kwa mgongo wa Pizza akapate kuungua .....

~ AMEN ~
 
Back
Top Bottom