Pretoria wakinukisha pia, wachoma nyumba za wahamiaji

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,379
Imefikia hatua Afrika kila mtu arudi kwao, haijalishi tena una vibali halali au la, watu wanakuibukia na kuharibu kila kitu, wanakupea kichapo na kuchana vibali na kuiba chochote cha thamani.
Nchi zimeshindwa kuboreka kiuchumi na kuelekeza hasira kwa wageni Waafrika wenzao.

Hii mipaka katuchorea mzungu, inabidi kukung'utana hadi kieleweke.

XenopixEA.jpg


One of the houses belonging to foreign nationals that was petrol bombed by irate South Africans in Pretoria West February 18, 2017. PETER DUBE | NATION MEDIA GROUP
South Africa's Pretoria West residents went on a rampage on Saturday and petrol bombed two houses belonging to foreign nationals.

They claim the immigrants were using the houses as brothels, recruiting young girls as prostitutes and introducing them to drugs.

In the past two weekends, at least 22 houses either belonging or being rented by foreigners were burnt in Rosettenville, south of Johannesburg.

Locals alleged that “drug dens” were mushrooming in the area because of immigrants.

The chairperson of the African Diaspora Forum, Mr Marc Gbaffou, said the situation was tense in Pretoria, adding that immigrants had to close down their businesses and flee as the attacks started early on Saturday.

A repetition

“The situation is really tense, it’s a repetition of what happened in Rosettenville in the last two weekends. They say they are fighting drugs and prostitution and they are attacking shops belonging to foreign nationals,” Mr Gbaffou said.

No injury had been reported but police were yet to make any arrests.

Police spokesperson Lieutenant-Colonel Lungelo Dlamini said they had deployed a number of officers to the area to quell the violence.

Angry residents raided alleged drug dens and brothels on Saturday, burning two houses down as they went door to door in search of drugs.

The violence

“It is under control right now. We have deployed quite a number of police in the area to ensure that the violence did not flare up again,” he said.

By late afternoon on Saturday, residents were still walking up and down the streets under heavy police guard, vowing to root out criminality.

Mr Gbaffou said they feared the attacks could be a build up to a march against foreigners scheduled for next Friday.

Treat them fairly

South Africa xenophobic attacks spread to Pretoria
 
Viongozi wameshindwa kutatua shida za wananchi, yote hiyo ni umaskin na njaa tu, uchumi ungekuwa mzuri wasingekuwa wana panic wakiona wageni


Mbona Ulaya/USA uchumi mzuri lkn bado wanachoma watu weusi/ wageni moto?
 
He he sasa inabidi kila mtu akae tu nchini mwake. Africa is no longer one. Everywhere is hatred and war. Hao Wasauzi wanasema wanapinga foreign nationals kwasababu ya drugs lakini wao wanaiba nakuharibu mali. They are not okey mentally....no jobs, no education opportunity lazima watu wa-run mad.
 
Mbona Ulaya/USA uchumi mzuri lkn bado wanachoma watu weusi/ wageni moto?

Fuata mambo ya USA vizuri utaelewa hata humo ajira imeanza kuwa tabu, binadamu ndivyo alivyo tangu zamani, raslimali zikipungua anachanganyikiwa na kuanza kutafuta pakutokea.
Wewe jaribu utoke huko kwenu Usukumani kijijini umtembelee ndugu yako mjini halafu upitilize siku alizokualika halafu huku unamega ugali kwa bidii ukidhani bado upo kijijini, uone shughuli yake.
 
Wewe jaribu utoke huko kwenu Usukumani kijijini umtembelee ndugu yako mjini halafu upitilize siku alizokualika halafu huku unamega ugali kwa bidii ukidhani bado upo kijijini, uone shughuli yake.

Hapo ndio mnapoanza kuangaliana usoni.
 
Mbona Ulaya/USA uchumi mzuri lkn bado wanachoma watu weusi/ wageni moto?
Ndugu yangu jaribu kuwa mfuatiliaji bas, Marekani hali yao siyo nzuri fuatilia maeneno yaliyo mchagua Trump kwa wingi uone shida yao ilikuwa nini.
Kuhusu ulaya ugomvi wao ni uslama na utamaduni, huwezi kuona mtu wa ujeruman anapinga wahamiaj kutoka ugiriki, wanawapinga wale waarabu kwa kuwa kuwa ni hatari kwa usalama wao, ukiwa mfuatiliaj hutakuwa unauliza maswali ya ajab kama haya mkuu.
 
Fuata mambo ya USA vizuri utaelewa hata humo ajira imeanza kuwa tabu, binadamu ndivyo alivyo tangu zamani, raslimali zikipungua anachanganyikiwa na kuanza kutafuta pakutokea.
Wewe jaribu utoke huko kwenu Usukumani kijijini umtembelee ndugu yako mjini halafu upitilize siku alizokualika halafu huku unamega ugali kwa bidii ukidhani bado upo kijijini, uone shughuli yake.


Mimi sitoki huko unakokuitaUsukumani wee vp? Kwetu mimi Rufiji, Mkoa wa Pwani!
 
Haya ni matatizo ya kudharau ushauri wa waasisi wetu waliokuwa na hekima nyingi, unganiko la Africa yote. Utaifa umeshakomaa na hii mifumo ya kibinafsi, ubepari ndio kwisha kabisa.

Umasikini wa mtanzania utabebeshwa kwa mgeni, hii ni kanuni ya asili kabisa na chuki huanzia hapo. Likumbukwe la unazi wa Hitler.

Hapawezi pakawa na utengamano mzuri penye kutengana ktk jambo lolote lile. Lazima maslahi binafsi yatajengeka tu. Si mbali, nchi za kiafrika zitanyukana kugombea maslahi binafsi, hii ni kanuni ya asili.

Hata hapa Tanzania kwetu, ni muda tu, tutawafukuza wageni wote. Na tukishawamaliza, tukishatengana na wazenji nao mnyukano ni huohuo. Kanuni ya asili hii.

Tujitafakari upya ktk uafrika wetu, ktk ukanda wetu na ktk utaifa wetu. Kotekote kuna moshi unafukishwa, moto lazima uje tu uwake. Mungu wakumbushe waafrika kuwa Africa ni moja, binadamu wote ni ndugu.
 
Tatizo LA south Africans wengi hawatembei....nje ya nchi...wao wanaona kama ndy marekani pale...pia wanasumbuliwa na wivu Tu..wa jinsi DADA ZAO wanavyotupenda...NA WENGI WANAOCHUKIA WAGENI NI WANAUME......DADA ZAO TUNAWATUNZA VIZURI na WATOTO wao HAO WANAUME...wanaona WAGENI WANAMAISHA MAZURI..sana....sababu wao kuna aina ya kazi hawazifanyi....MGENI anaanzisha biashara..anapata maendeleo....wao wanasema WAGENI wanachukuwa PESA ZAO.....ni WIVU TU....sasa kama hawataki WAGENI mbona WANAVAMIA maduka na Mali za WAGENI na kupora?kama sio WIZI nini?wao walishazoea KABURU KAWAANDALIA KILA KITU...now uongozi wa MTU mweusi maisha yanazidi kuwa magumu upande wao....wanasingizia WAGENI wengi wanajaza inchi yao...tena wanatumiana vwhtsapp SMS wakihamasishana kufanya FUJO KUBWA 24 FEBRUARY... ujumbe ukisomeka kama ifuatavyo....MANDELA did not jailed 30 years because of these rubbish.... OLIVER TAMBO did not died because of these foreigners... They suffered because of south Africans not for these rubbish let's clean our south africa....hawa sio watu wazuri...ULE UBAGUZI waliofanyiwa na MAKABURU wanawafanyia WAAFRICA wenzao
 
Back
Top Bottom