Wazungu nawapendea hapa tu ( Everton Luiz), Lazima watakukumbusha wewe ni nani!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)!
Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi gani ipo siku watakukumbusha tu kwamba wewe ni Nyani tu kwao, nakumbuka Timu ya Wazungu ilipocheza dhidi ya Taifa Star Uwanja wa Taifa Watanzania tulikuwa tunawashangilia Wazungu na kuwazomea Waafrika wenzetu Taifa Star, wakati sisi hapa kwetu nyumbani tunaigawa nchi kumtetea Muhindi Manji, wengine kama chadema Tundu Lisu, Mbowe &Co. wanakwenda kwa Mzungu kushitaki kwamba wanategema suluhisho la matatizo yao litoke kwa Mzungu, ...

Wahindi wakiandamana kukataa Waafrika nchini mwao, mpka wameanzisha Chama kupinga Waafrika -weusi!

AAP.jpg
 
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)! Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi gani ipo siku watakukumbusha tu kwamba wewe ni Nyani tu kwao, nakumbuka Timu ya Wazungu ilipocheza dhidi ya Taifa Star Uwanja wa Taifa Watanzania tulikuwa tunawashangilia Wazungu na kuwazomea Waafrika wenzetu Taifa Star, wakati sisi hapa kwetu nyumbani tunaigawa nchi kumtetea Muhindi Manji, wengine kama chadema Tundu Lisu, Mbowe &Co. wanakwenda kwa Mzungu kushitaki kwamba wanategema suluhisho la matatizo yao litoke kwa Mzungu, ...Wahindi wakiandamana kukataa Waafrika nchini mwao, mpka wameanzisha Chama kupinga Waafrika -weusi!

Mtu unaandika jambo kwa malengo ya kuingiza masuala ya siasa za chuki, ni ujinga flani hivi. Mie naona hukuwa na haja ya kuandika au ungeenda straight kwenye siasa zako ambazo ulizilenga kuliko kuanzia kwenye ubaguzi then unaenda kwenye hilo ulilolilenga. Kama ni ubaguzi Tanzania inamaana huuoni mpaka uende Serbia?
 
Huyu jamaa ni Fala,wazungu wakuite nyani,ulie!!!? why? kwani we nyani? kwa kiwango alichofikia katika soka,inabidi uwe na roho ngumu,sio unasemwa kidogo,unalia,je hao wabaguzi waki kunyanyasia mkeo mbele yako itakuwaje,
 
Mbona nafasi za uteuzi naona kama zimeisha subili labda wa kutumbuliwa lakini naona kama mkulu kapunguza kasi
 
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)!
Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi gani ipo siku watakukumbusha tu kwamba wewe ni Nyani tu kwao, nakumbuka Timu ya Wazungu ilipocheza dhidi ya Taifa Star Uwanja wa Taifa Watanzania tulikuwa tunawashangilia Wazungu na kuwazomea Waafrika wenzetu Taifa Star, wakati sisi hapa kwetu nyumbani tunaigawa nchi kumtetea Muhindi Manji, wengine kama chadema Tundu Lisu, Mbowe &Co. wanakwenda kwa Mzungu kushitaki kwamba wanategema suluhisho la matatizo yao litoke kwa Mzungu, ...

Wahindi wakiandamana kukataa Waafrika nchini mwao, mpka wameanzisha Chama kupinga Waafrika -weusi!

AAP.jpg

We akili zako naona zero yaani makondakta, ina maana badala ya kusikitikia watanzania wanachofanyiwa Msumbiji huku dada zetu wanabakwa hadi wanapoteza maisha, unaacha kuangalia nchi tuliyowasaidia kupigania uhuru wao na wakimbizi wao yaani ndugu zao tukawahifadhi Morogoro wengine, huku baba yao wa taifa tukimsaidia hadi pasi ya kusafiria alipokuja hapa yaani South Africa, lkn wakatugeuka na kuwaua ndugu zetu watanzania wenzetu hadi kuwachoma moto. Leo unakuja kuleta upuuzi wako wa kilumumba,!! Hapo habari za Manji umetaka tu kuficha ukweli wako, lkn ulipokuwa umepalenga ni kwa Mbowe na Lissu tu. Mabwege sana nyie, mna kila silaha, tume zote zenu, vyombo vya nanihii vyote vyenu sasa sijui kwa nini mnawaogopa sana watu hawa kama kweli uongozi wa hii ligi mnaongoza na kushinda mechi kihalali
 
Na serikali ya CCM inalia kwa WB ambao ni wazungu wawapatie hela ya kujenga fly over hatari sana.
 
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)!
Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi gani ipo siku watakukumbusha tu kwamba wewe ni Nyani tu kwao, nakumbuka Timu ya Wazungu ilipocheza dhidi ya Taifa Star Uwanja wa Taifa Watanzania tulikuwa tunawashangilia Wazungu na kuwazomea Waafrika wenzetu Taifa Star, wakati sisi hapa kwetu nyumbani tunaigawa nchi kumtetea Muhindi Manji, wengine kama chadema Tundu Lisu, Mbowe &Co. wanakwenda kwa Mzungu kushitaki kwamba wanategema suluhisho la matatizo yao litoke kwa Mzungu, ...

Wahindi wakiandamana kukataa Waafrika nchini mwao, mpka wameanzisha Chama kupinga Waafrika -weusi!

AAP.jpg

Wewe dada huwaga una mawazo ya kinyoko sana wewe!!
 
Back
Top Bottom