jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Mugabe amesema katika kuadhimisha miaka yake 93 hana mpango wa kuachia madaraka bado mana hajaona wa kurithi nafasi yake na chama chake hakijampata mrithi wake
Wanategeana ee
Wanajuana!Wanategeana ee
My advice is that Mugabe should retire immeadetly when queen of England retires