Kiongozi wa Upinzani RWANDA VICTOIRE INGABIRE jela 8; Alisha Uliza kwanini WAHUTU wafu hawatambuliwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa Upinzani RWANDA VICTOIRE INGABIRE jela 8; Alisha Uliza kwanini WAHUTU wafu hawatambuliwi

Discussion in 'International Forum' started by nngu007, Oct 31, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Wednesday, October 31, 2012

  KIONGOZI WA UPINZANI, RWANDA APATIKANA NA KOSA LA UHAINI  [​IMG]
  Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire (mwenye pingu) amehukumiwa miaka minane gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uhaini


  ***
  Rwanda opposition leader sentenced to 8 years in prison on charges of treason, genocide denial

  KIGALI, Rwanda - A Rwandan court sentenced the country's top opposition political leader to eight years in prison on Tuesday for treason and on a charge stemming from this central African nation's murderous ethnic attacks 18 years ago - genocide denial.By Associated Press, Published: October 30  The opposition leader, Victoire Ingabire, returned to Rwanda in 2010 after living abroad for 16 years and quickly visited the country's genocide memorial, where she asked why Hutus killed in the violence were not recognized like the minority Tutsis were. She had planned to run for president but instead was arrested.

  More than 500,000 Rwandans, mostly ethnic Tutsis and moderate Hutus, were killed in Rwanda's 1994 genocide. In the wake of that violence, the government set out to de-emphasize ethnicity. Many in the country now identify themselves simply as a Rwandan, not a Hutu or Tutsi.

  The government accused Ingabire - who has had contacts with the FDLR, a group of Hutu fighters in Congo - of trying to raise an armed group, a charge Ingabire denied. The court on Tuesday acquitted her on charges of promoting ethnic division, genocide ideology, creating an armed group, and complicity in terrorist acts.

  Ingabire's lawyer, Iain Edwards, said Ingabire will appeal the court's ruling.

  "That's the problem I have with this government. If you talk about ethnicity, they say you are a divisionist," Ingabire said in a 2010 interview with The Associated Press after she was put under house arrest. "I think the better solution is you talk about it and find a solution."

  The government's chief prosecutor, Martin Ngoga, responded that Ingabire's statements were not simply a free-speech issue because she could incite Rwanda "to once more explode" as it did in 1994.


  President Paul Kagame has been lauded by the international community for leading Rwanda through nearly two decades of peace, for advancing women's rights and for leading the country to strong economic growth. But the court's sentence reinforces the view by political analysts that opponents of Kagame have little space to operate in post-genocide Rwanda.


  Human Rights Watch criticized the guilty verdict as the culmination of a "flawed trial that included politically motivated charges."


  "The prosecution of Ingabire for ‘genocide ideology' and divisionism illustrates the Rwandan government's unwillingness to tolerate criticism and to accept the role of opposition parties in a democratic society," said Daniel Bekele, Africa director at Human Rights Watch. "The courts should not be used for such political purposes."


  Human Rights Watch said it can't comment on the veracity of the charges relating to Ingabire's alleged collaboration with armed groups, but expressed concern that some of the evidence used to convict her appears to be unreliable.


  Though Rwanda appears serene on the surface, Ingabire's political party - FDU-Inkingi - calls Kagame a dictator. The party urged Rwandans to remain calm and "to get ready for the day to march until freedom is won."


  "This is a conclusion of a long chapter of hope that the current dictatorship would understand how important peace, genuine unity and sustainable reconciliation are," a statement from a party leader Boniface Twagirimana said.


  Judge Alice Rulisa, speaking for a three-judge High Court panel, said Ingabire was given a lighter sentence because she had written a letter to Kagame asking for leniency. Edwards, the lawyer, said Ingabire admitted to no crimes in the letter.


  The trial began in September 2011 and wrapped up in April. Four co-defendants all implicated Ingabire in collaboration with armed groups.


  The prosecution had requested a total of 35 years on the two charges. The court said it gave credibility to Ingabire's argument that she had been out of the country for so long that her statements and speeches were out of touch with reality when she returned to participate in the 2010 presidential election.


  Ingabire withdrew from her case in April, citing a lack of an independent judiciary.


  Twagirimana told AP after the ruling that Ingabire should appeal to a court outside Rwanda, such as the African Court on Human and People's Rights.


  Ingabire's co-accused, four men who are all former members of the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), were also handed lighter sentences Tuesday after they pleaded guilty on all charges and pleaded for leniency from the court.

  ___
  Straziuso contributed from Nairobi, Kenya.
  Washington Post   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Embu angali KAGAME anavyoDICTATOR; Huyu Dada alikuwa anaishi NJE ya NCHI kwa MIAKA 16; Amerudi Nchini Katembelea GENOCIDE Areas; akaona kasoro Hakuna ya WAHUTU waliouwawa, ila tu WATUSI.

  Asasema nataka kugombea URAIS, angalia akawekwa ndani na Wanasema eti alishishiri kwenye MAUAJI wakati alikuwa anaishi NJE ya NCHI

  Sasa hapo HATA KAMA NCHI ITAKUWA NA MARUMARU, UHURU hauna hakuna FURAHA na AMANI na MAENDELEO ni GERESHA TUUU.

  Jamani Watanganyika, Tusifurahike kabla ya kuelewa Maana za VIONGOZI...
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli kwanini hakuna wahutu wanaokumbukwa kwenye hiyo Genocide? Yes, wengi waliokufa ni watusi, lakini pia wapo wahutu - moderate waliopoteza maisha pamoja na watusi. Historia inaegemea mno upande mmoja na kusahau kabisa upande mwingine.

  Kagame amefanya mambo mengi mazuri, but I always believe kuna a very dark side ya huyu and only God knows what will happen after he leaves the office (kama kweli ataachia ngazi). Rwanda kuna watu wengi sana wanatembea na nyongo!
   
 4. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  bora kuwa na dictactor Kagame kuliko kuwa na CCM
   
 5. c

  cham Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rwanda ni nchi ya utata mtupu unapozungumzia ukabila. Hawa jamaa wote wanazaliwa na ukabila na wanakufa na ukabila. Mungu awasaidie wapate kiongozi ambaye amestarabika na kuona mbali kwamba ukabila hausaidii kitu bali unauwa umoja na maendeleo. Kagame bahati mbaya si mtu huyo mkombozi. Ni mkabila mia kwa mia lakini kwa kuwa hakuna mbadala tuwahurumie tu wanyarwanda. Wamwombe Mungu awapatie kiongozi ambaye ni kama huyu Rais wa Burundi kwa sasa. Anamwelekeo wa kuwaunganisha warundi kuliko ilivyo kwa Rwanda. Kuuwa watu, kuwalazimisha mambo badala ya kuwaelimisha na kuwaelewesha taratibu haisaidii. Ni udikteita tu.
   
 6. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,709
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Dawa ya wanyarwana waende wazaramo wanengereko wamatumbi wangindo,wapogoro watondi wanyagatwa na makabila mengi hasa ya pwani ambayo kiasili si wabaguzi maana wamezoea kupokea wageni toka kale.
  wakaoe/wakaolew kule wapate machotara wa kindenge-rwa, lugu-rwa,pogo-rwa pengine wataacha kujibainisha kama watutsi na wahutu!
   
 7. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,487
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180

  Wala usihofu ipo siku na CCM itaongozwa na dictator kama Kagame.
   
 8. u

  umulitho JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Inawezekana kiongozi wa upinzani aliuliza kuhusu kutotambuliwa kwa wahutu waliokufa kwa uchache wao kwa lugha ya kejeli na uchochezi jambo ambalo ni hatari kwa Taifa kama Rwanda ambalo lina kovu kubwa la matokeo ya ukabila.
  Hapa mamlaka za nchi lazima zichukuwe hatua,hakuna Demokrasia isiyo na mipaka.ENGABIRE amekaa uhamishoni sana akiwa anakula raha wakati wenzake wana hangaika na donda la ukabila mpaka mambo yamekwenda vizuri ndio yeye anataka kuwarudisha walikokuwa jamani!KAGAME chapa kazi baba,Waafrika falisafa ya "DEMOCRACIA"tumeielewa kinyume sana.
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  KAGAME NI DIKTETA JAMANI NA MKABILA HASWA
  km kuna mtu anataka kuishi na kunusa harufu za baruti kila siku endeleeni kwa kukumbatia hao watu wa kaskazini wenye Malengo ya kuitawala Tanzania
  Iko siku Mtakumbuka maneno ya JK Nyerere aliposema IKULU HAKUNA BIASHARAMNACHOKIMBILA NI NINI
  tunawaona watu wanagharamikia kuingia kwa nguvu zote
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  mhhhhhhh!umulitho,mahene?
   
 11. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Reka kubesha ewamuhimbiliwe
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya Kagame unikumbusha mambo ya Wayahudi na holocaust, binadamu waliokufa kwenye concentrations camps hawakuwa Wayahudi tu - walikuwepo vile vile:Gypsies, Wajerumani (Walemavu, wagonjwa wa akili, wafupi) na Warussi idadi yao ilikuwa zaidi ya millioni saba walio angamia kwenye makambi ya MANAZI.

  Cha ajabu hao huwa awasemwi, wanao semwa ni Wayahudi tu; licha ya hao nchi iliyopoteza raia wengi na wanajeshi zaidi ya millioni ishirini ni URUSI! Wayahudi katika mahazimisho yao huwa hawakumbuki wahanga wengine wa vita vya pili vya dunia wanataka DUNIA iwasikilize na kuwaonea huruma tu WAO.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bado sina hakika kama Rwanda imetulia. Bila Kagame kushika usukani mambo yatakuwajee? Naamini, it is a mistake kutotaja wahutu kwenye hizo kumbukumbu zao. Hii inajenga chuki na watu wakipata chance wataonesha makucha yao.
   
 14. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu jamaa huyu anajuwa wazi kilicho ignite spark ya genocide in the first place, yeye ndiye alikuwa COMMANDER wa infantry katika viunga vya mji wa Kigari wakati ndege aina ya Dassault Falcon 50 ikiwa imebeba crews watatu wa kifaransa na abiria tisa, akiwemo Raisi wa Rwanda J.Habyarimana na menzake wa Burundi C.Ntaryamira ilipokuwa inajitayarisha kutua.

  Ndege ilipigwa kombora la kwanza kwenye bahawa wakitumia a shoulder-fired Russian made Strelar/ Igla S.A.M, kombora la pili lilipiga nyuma kwenye turbine za injini na kufanikiwa kuiripua in mid-air na kuuwa abiria na crews ambao wengi wao walikuwa Innocent kabisa!!! Swali ni: Nani alitoa amri ya kuitungua - nani aliwapa missile hizo - je Wahutu watasahau kuuwawa kikatili kwa Raisi Habyarimana?

  Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi (ambao ni manority) wasije wakajidanganya kwamba wanaweza kuhadaa dunia na ku-marginalize majority (Wahutu) muda wote, kuna siku Wahutu na Watwa watajipanga upya na kurekebisha mambo bila ya kujali vitisho. Kagame akumbuke hataishi/kukaa kwenye madaraka milele - sasa je siku akiondoka madarakani kutatokea nini?
   
 15. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuwashauri wana JF wajaribu kufatia historia ya Dr.Joseph Goebbels, jamaa huyu alikuwa Waziri wa propaganda wakati wa utawala waki-Nazi huko Ujerumani.

  Nimemkumbuka Dictactor huyu kutokana na mbinu alizo kuwa anazitumia kuchezea akili za binadamu wenzake - alitumia vitisho,mabango,senema,media zote nk akijaribu by putting enormous psychological pressure kwa RAIA ili wa-obey na ku-conform kwa yale anayo yataka yeye. Mbinu hizi ndio naona zinatumika Rwanda, regime ya Kagame inajaribu kuwafanya Wahutu wajisikie guilty/vibaya muda wote kwa kuonyesha rows upon rows za HUMAN SKULLS (Victim wa genocide) as if wenyewe ndio walihusika katika mauaji ya halahiki lakini jeshi la RPF/Watutsi wako clean!

  Kama wanasema Watutsi na wahutu wamesameana, kwa nini Serikali ya Kagame anaendelea kuonyesha kwa wageni na Wanyarwanda horror scenes za vichwa vya wanadamu waliokufa!!! Kwa nini hawaviziki kwenye makaburi ya mashujaa au wakavi-CREMATE na baadae wakakusanya majivu na kuyaweka kwenye visanduku
   
 16. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  msiongee sana bcoz kagame agents wako hapa JF wakiongozwa na Koba.by the way ujanja wa kagame ushajulikana na hii ni mojawapo ya blunder anazofanya,kama hujasahau kuna zaidi ya nchi sita za ulaya maarufu kwa kutoa misaada rwanda zimesitisha misaada (Netherland,Sweden,UK,US,Germany) na nyinginezo,pia Kagame kwa sasa ana maaadui kila kona wakiwemo watusi wenzie aliokomboa nao nchi na kuwatosa,wale interahamwe(genocider 1994) wako hapo congo wanapiga zoezi siku wakirudi sijui itakuaje,kosa kubwa la kagame ni kushindwa kusamehe na ku-move on,analipiza kisasi ki-sycology zaidi sio phycical,ingawa kuna wanaoumizwa physical.ila ukionekana unaingia kichwa kichwa kuhatarisha usalama wake kimadaraka.utaishia kama mwanamama Victoire Ingabire(Kagame anadai hamjui hata jina lake)
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kagame ataishia The Hague.nina uhakika asilimia Mia
   
 18. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ponda akililia haki za waisilam...mkorofi.
  Nye wapuuzi sana, yanayotokea huko rwanda ndiyo yanaowakuta waislam hapo. ipo siku mtakuja kujutia hili.
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  kagame hafai.
   
 20. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe usiongee mambo kijujuu, wanyarwanda wameuana sana kwa chokochoko za maneno madogomadogo yalianza kama anavyotaka kuyarudia huyo Ingabire Victoire, amani ina gharama kuli upumbavu wake anaotaka kuurudisha tena! mi naona miaka minane haitoshi ni muuaji huyo acha kabisa kusapoti upuuzi ww!
   
Loading...