mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Wakuu Naona kama sisi ni wepesi sana kiteknolojia na kiuadilifu kwa kuchakachuliwa na kujichakachua wenyewe.
Kuna watu waliwahi kufa vivo vya kutatanisha kama Balali n.k, kuna waliokimbia na wanatafutwa kwa mabaya yao, na serikali na wananchi na familia n.k
Ni Rahisi sana hawa watu kurudi kivingine.