Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Ni vyema sasa Serikali ikawaza kuwepo na tuzo pia kuitambua Mikoa na wilaya ambazo watu wake wamefanya kazi kubwa kuinua maendeleo ktk nyanja mbali mbali za maisha bila kuwepo msaada au upendeleo wa serikali kuu.
Niweke tu wazi kwamba mikoa au miji inayobebwa na serikali isihusishwe mf, Dar es salaam, Dodoma, Arusha , Chato na Mtwara.
Vigezo viangaliwe ktk - kilimo na chakula, mapato, elimu, afya, makazi barabara na majengo.