Kinu cha taa Zanzibar

Hashim bin Faustin

Senior Member
Jan 30, 2017
177
216
Jamani hii ndiyo ZANZIBAR yetu, Mkizima Mkiwasha kwetu sisi tupo sawa tuu !! Tushazoea Raha na Shida Vilevile, Sisi sio malimbukeni wa kupata, kupata kwetu tulianza zamani hilo mnalijuwa wazi , East and Central Africa sisi ndiyo tulikuwa vidume toka karne hizoo...!! Bofulo na urojo twajilia tartiiiiibu.

e991b87754fbb6c0ab0b5e9aacf3004b.jpg
 
Kibatari kibatari
Sikama sijakikubali
Kimelea wasomi mahiri
Hata huwezi amini
Swali langu jamani
Naomba mnijibuni
Wenye kosa ati ni walipaji kwani?

Suali hili ni kubwa
Liende mbele sambamba
Siku, wiki Na mwezimbamba
Mifuko yetu mwairamba

Tuelezwe kwa makini Kosa hili ni la naniiii?
Mbona mwababaisha sana huku mkifunga goli porini
Kibatari nakupenda Ila utaua jamaniiiii
 
Hakuna kuangalia sura
msema kweli nimpenzi wa mungu
mambo ya kinafiki yamebakia Chadema
Lipeni Kwa Tanesco
 
Back
Top Bottom