PSPF jirekebisheni, igeni kwa wenzenu LAPF

saivan

Member
Dec 1, 2016
15
8
Kwa miaka ya hivi karibuni naona LAPF wakiwapelekesha mno PSPF katika ushindani wa kutoa huduma zenye ufanisi na kwa kasi sana.mfano LAPF walianzisha huduma ziuatazo kwa wanachama wake na kuwalazimu PSPF kuiga ili ku compete kwenye soko la wateja ambao wengi ni watumishi wa serikali
1.fao la uzazi
2.mikopo ya elimu ya juu
3.mikopo ya kununua viwanja vilivyo pimwa n.k
Hata hivyo huduma hapo juu kwa wanachama wa PSPF wanalalamikia kuwa hazitolewi kwa wakati kabisa na kumekuwa na usumbufu mkubwa hadi mteja apate huduma hizo.Hivyo wadau mi nadhan PSPF hawakujipanga vyema katika kutekeleza huduma hizo.
Huduma hizo kwa wateja wa LAPF unapewa ndani ya wiki moja au mbili tuu LAKINI PSPF ni zaidi ya miezi mitatu ndio ufanikiwe.
Nayasema haya kwa nia njema ili PSPF wajirekebisbe na sina maslahi yoyote na LAPF ila mimi ni mwanachama PSPF.
 
Huu mfuko upon hoi, mzee Wangu amestafu tangu mwezi September bado hajalipwa mafao yake. Ila LAPF MTU amestafu mwezi January tatari kalipwa mafao yake . itungwe sheria ya MTU kubadili mfuko wakati wowote anapoona inafaa na kujiunga na mfuko mwingine
 
Back
Top Bottom