Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Wananchi wa Rukwa wameiambia serikqli kuwa kqtika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 itabidi serikali ichukue wanyama 'viboko' mitoni ili waipigie kura kwa Kuwait away yamani wanyama hao kuliko binadamu.
Je,ni kweli serikali ya Tanzania inawathamini wanyama kuliko binadamu(wananchi wake?
Source: Radio EA.
Rais2020.
Je,ni kweli serikali ya Tanzania inawathamini wanyama kuliko binadamu(wananchi wake?
Source: Radio EA.
Rais2020.