illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Najaribu kuangalia tangu drama zote hizi zianze mara madawa mara vyeti mara kuvamia kituo waziri wa mambo ya ndani ambaye ana dhamana kubwa katika tuhuma zilizotajwa amekuwa kimya, mi naona huu ni weledi wa hali ya juu na kuonyesha jinsi alivyopevuka kisiasa haya mambo unaweza kushabikia huku mara kesho upepo ukabadilika na ukaonekana msaliti..nawasilisha