Wapo wapi hawa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

Mar 16, 2017
37
19
bunge1.jpg
 
Walikuwa wanasubiri Rais atasemaje maana ndio mtindo wa siku hizi.

Sasa jana keshasema.

Maadili ya viongozi wa umma kwisha kazi.

Hiyo sekretarieti inakula pesa za walipakodi tu...
 
Wanaanzaje na mwajiri kasema hapangiwi na yy ndo mteuzi.
Soma kipengele cha sita hapo kwa attachment 'Bunge laweza kwa masharti ya mtu kufukuzwa au kuondolewa kazini kutokanana kuvunja maadili ya viongozi, bila ya kujali kama kazi hiyo ni ya kuchaguliwa na kuteuliwa.'
 
Soma kipengele cha sita hapo kwa attachment 'Bunge laweza kwa masharti ya mtu kufukuzwa au kuondolewa kazini kutokanana kuvunja maadili ya viongozi, bila ya kujali kama kazi hiyo ni ya kuchaguliwa na kuteuliwa.'
Hii taarifa jumanne pondamali hataipenda kamwe
 
Hawa Kazi yao ni kuhakikisha viongozi wanataja Mali zao tu suala la Makonda hawawezi kulishughulikia lipo Juu ya uwezo wao
 
Hakika nilitegemea Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma angeanza kuchukua hatua stahili Kwa Mkuu wa mkoa wa DSM Bw.Paulo Makonda Kwa kukiuka maadili ya Uongozi, Kwa kitendo alichokifanya cha kuvamia kituo cha Clouds FM akiwa Na Askari Polisi Na Wanajeshi wakiwa Na Bunduki saa 4 za usiku.
 
Bashite a.ka Makonda alitumwa na baba (mkuu wa kaya). Tume ya maadili itaanzia wapi. Tena alikuwa na polisi wa kutosha plus Makhirikhiri (kama wanajeshi hv wa usalama) wanaolinda nyumba nyeupe. Na baba kasema asisumbuliwe kijana wake mpendwa sana. Yaani aendelee na kuvamia tu na kukiuka maadili.
 
Kuweni na subira wakuu, huenda hili la maadili wateule wa mkulu haliwahusu!
 
Suala la maadili sio muhimu kwa sasa suala la msingi watu wachape ' kazi'!!??
 
Suala la maadili sio muhimu kwa sasa suala la msingi watu wachape ' kazi'!!??
'So long as we have enough people in this country willing to fight for their rights, we will be called a democrasy.'~Roger Nash Baldwin
Kwa walio elimika, kuwa watetezi wa haki zetu sio eti hatuchapi kazi. Inamaanisha tunajielewa na pia jukumu la kutetea haki zetu ni haki yetu. Is all about working smart in all areas that affect our lives.
 
hakika kama wananchi hatuna pa kuanzia kujichomoa kwa hili la mkuu wa mkoa ,tutapiga sana kelele lakini mukulu ndio katoa msimamo wake kuwa HASIKILIZI MTU WALA HAKUNA WA KUMPANGIA

hili linaleta chuki mbaya sana mbele ya jamii dhidi ya kiranja wa mkoa

hili linaumiza sana hasa wale waliopata maumivu hasa kutokana na kiranja huyu wa mkoa

hili linaleta uhasama baina ya clouds media na makonda mwenyewe,mkuu hata kuwa na raha tena ya kupiga simu clouds,watangazaji wa clouds pia ni uhasama

hili laweza sababisha MACHAFUKO ,yes i see, kuna watu wanatamani sana makonda atumbuliwe maana anaumiza watu,anajigamba,anatukana,ni mtukutuku,yaaani ni example kabisa wa vampire,lakini bossi anampongeza!!!!!!!!!!!!!!!! si wataona bora wamalize wenyewe wamtumbue wenyewe,wasimuone anatawala tena, you what will happened!!!!!!!
 
Back
Top Bottom