Sisera
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 224
- 99
Majuzi tu kumetokea mjadala mzito juu ya matendo ya Aibu yaliyofanywa na kiongozi mkubwa RC. Tumepiga kelele nyingi tukiwa na mategemeo ya majibu yanayofanana na maswali yetu. Kama itikio Father House akatushangaza alipompa SHIME tena yule jamaa na kwamba yeye hafanyii kazi mambo ya mitandaoni [emoji56][emoji56].
Kizazi hiki sio cha SLP, habari za mitandaoni ni muhimu sana kwa wakati huu kuliko wakati mwingine wowote uliopata kutokea. Na ndio maana hata father house naye kwenye kila hotuba lazima alalamikie habari za mitandaoni, hii ina maana yeye mwenyewe hushinda huku.
Habari za mitandaoni kibongobongo ni muhimu sana, hata kama wakati mwingine zina walakini ila kimsingi tunajipatia ufahamu wa kutosha tu juu ya mambo mengi.
Nadhani ni muhimu tuendelee kulipuka huku mitandaoni kwa kuwa wahusika wengi husoma. Hofu ya nini? Uzuri wa mitandao ni kwamba ukifanya vizuri, utapewa haki yako, ukizingua kama Bashite unapewa haki yako, na hata usiposoma humu watu watascreenshot watakutumia tu.
Mheshimiwa father house mitandaoni ni muhimu tu, kama uko positive utaona umuhimu, ila kama biashara ndo hiyo ya Kutopangiwa basi movie haitakuwa na sterling.
WAKATABAHU