Chachata
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 201
- 134
Mh Nape Nauye, Uwaziri hukuzaliwa nao, cheo hukuzaliwa nacho, chama hukuzaliwa nacho wala ccm siyo mama yako. Kama serikali imeparanganyika, hueleweki, nafasi yako haiheshimiki achana nayo njoo tuendeleze mapambano dhidi ya ugandamizaji wa haki na ukanyagaji wa sheria. Maisha popote usiwe kama Bashite