YOUTH FOR BRIGHT FUTURE

sekoja

Member
Mar 8, 2017
58
56
Wakuu habari zenu, naleta kwenu hii topic..... Nina experience ya Nchi za wenzetu zilizoendelea huwa wanakuwa na Mabaraza ya Vijana Ngazi ya Taifa yanayojumuisha Vijana Wasomi, wajasiliamali na wazalendo ambao wanaweza kuleta mabadiliko kwenye Jamii, kwa kuyachukua Matatizo yote kutoka kila corner ya Nchi zao. Lakini nikaamua amua kufanya Uchunguzi hapa Nyumbani kwetu TZ, yaani kuna mabaraza ya Vyama vya siasa pekee ambapo tunakutana kule tunafanya blaa blaa tu. Kwa Uelewa wangu mdogo, nataka kuorganize Elite Youth, kutoka kila corner ya Tz tutengeneze Umoja siyo wa matakwa ya kisiasa wa siyo Organisation ya mtu. Ambapo kupitia Umoja wetu tutakuwa tunaya Address matatizo, from remoteness area to National Level. Halafu kama Umoja tutatafuta Funders na tutakuwa tunamakongano na Mikutano kila Mwaka wala mara mbili, ili kujadili Projects zote tutakazokuwa tunafanya. Mnaionaje wakuu hii najua humu JF sisi wote ni wasomi na ndo tunaweza kuempower na kutransform our Society. Kumbuka A leader is the one who can Empower others. Karibuni wakuu kwa maoni.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom