Uwekezaji wa $200 milioni visiwa vya Maldives kuzalisha MW 75 umeme- Zanzibar habari ndio hiyo.

Wana hiyo hela? Deni la TANESCO 2 bn Tsh. Zinawatoa kamasi itakuwa kuzalisha umeme wao?
 
Wakope kulipia bill ya umeme?
Kukopa kugharamia mradi wa kuzalisha umeme Zanzibar ili kutotegemea TANESCO. Fedha za malipo ya umeme zitabakia Zanzibar kuchagia gharama nyengine za huduma za jamii.
 
kama hawalipi hilo deni wacha tuendelee kula fedha zao za VIZA kwa watalii wanaoenda zanzibar.
 
Wao wapo bize kuwanyanyasa Wabara visiwani. Huku wakitumia Bandari ya Mkokotoni na njia za Wavuvi kuleta vitu vya magendo hapa bila kulipia kodi.
 
Wakiomba uarabuni watapewa mkuu
Hela ya Waarabu haiendi bure, na kama kweli waarabu wangekuwa wema kihivyo wangewasaidia waarabu wenzao (SYRIA) japo kuwachukua wakimbizi wao wanaokimbia vita huko kwa kuwapa hifadhi na kuwapa vibarua vya hapa na pale, Lakini hakuna nchi ya kiarabu iliyojaribu kunyoosha mkono wa msaada. Hatimaye wanakimbiia ulaya kwa so called "Makafiri"
 
Back
Top Bottom