Nataka kununua Terios kids

Nataka kununua Terios kids

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Kumekuwa na nyuzi humu zinazoulizia hili gari lakini hakuna majibu ya kuridhisha
Na nyuzi nyingine ni za zamani wakati spare zikiwa chache sana
Tafanya naombeni ushauri
Safari zangu ni za hapa mujini tu mkoani mara moja moja na familia
FB_IMG_1491049341805.jpg
FB_IMG_1491049344720.jpg
 
Gari nzuri sana kwa trip za town lita moja unakesha nayo spare zipo usiogope

Ila siyo kizuri sana Highway hakana stability
 
Kama una gari zaidi ya moja kanunue tu ila kama ndio gari ya kila sehemu (shambani, bar, kanisani, msibani) achana na hiyo gari go for rav4.

Hizo gari ukimpa mtu kama Le mutuz lift kwenye corrugation unapata tabu sana
 
Unajua nashangazwa na uzuri wake wa mafuta halafu kama vile havipo show room
Means uitaji ni mdogo

Bora ile kama Terios kubwa design kama Cami ingawa havina sura nzuri vipo vipo kidogo show room
 
Kama una gari zaidi ya moja kanunue tu ila kama ndio gari ya kila sehemu (shambani, bar, kanisani, msibani) achana na hiyo gari go for rav4.

Hizo gari ukimpa mtu kama Le mutuz lift kwenye corrugation unapata tabu sana
Rav 4 wengi wanaogopa ulaji wa mafuta hasa mijini
 
Kama una gari zaidi ya moja kanunue tu ila kama ndio gari ya kila sehemu (shambani, bar, kanisani, msibani) achana na hiyo gari go for rav4.

Hizo gari ukimpa mtu kama Le mutuz lift kwenye corrugation unapata tabu sana
Nipo mjini mkuu na kwa baati mbaya kote ulikotaja ntaenda nalo isipokuwa shamba sina
 
Back
Top Bottom