naona 'Bange' imekuwa kipaumbele cha wakuu wa wilaya.

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
mashamba ya bangi yazidi kufichuliwa

Takriban hekari kumi za mashamba ya bangi zimebainika katika wilaya ya Rungwe Mbeya ambapo hekari saba na nusu zimeteketezwa.

Zoezi hili ambalo limefanyika chini ya kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya ikiongozwa na mwenyekiti wake Julius Challya, wamebaini hekari kumi za bangi ambapo hekari saba na nusu zimevunwa na kuteketezwa Mkuu wa Wilaya hiyo anasema zoezi hili ni endelevu ambapo amewataka wananachi kuacha mara moja ulimaji wa bangi.

Afisa Mtendaji wa kata ya Isongole Esau Chonya yalipobainika mashamba haya anasema wamebaini uwepo wa mashamba haya baada ya kufanya ukaguzi wa misitu na wakala wa huduma za misitu TFS.

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Julius Challya anasema zoezi hili ni endelevu, na kwamba kamati ya ulinzi na usalama itaendelea na ukaguzi wa milima na misitu yote baada ya kubaini bangi hiyo kulimwa katikati ya misitu.

:Ama kweli, naona 'Bange' imekuwa kipaumbele cha wakuu wa wilaya nchini na sio shughuli za maendeleo tena.
kila mkuu wa wilaya wa mkoani nshu ni kukamata mashamba ya bangi.
 
Hivi nani anakumbuka vile vipimo vya mkuu wa wawila kutosha sehem?
 
ULITAKA ' BANGE' ISIPEWE KIPAUMBELE KUTEKETEZWA ILI UENDELEE NA BIASHARA YAKO? KWELI MPO WENGI NDIO MAANA MNAUCHUKIA HUU UTAWALA, KUSHNEY
 
Back
Top Bottom