Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Niliwahi kupost uzi fulani hapa,nikipendekeza yanga kubadili rangi ya log na jezi zao,nilishambuliwa sana hapa!.
Dhamira yangu ilikuwa ni kutaka kuendlea kuipenda yanga lakini nilishindwa.hivyo huwa sishabikii tena yanga japo naipenda.
Lakini pia nimechana guo kadha nilizowahi kupewa kama zawadi na rafki zangu zikiwa na rangi ya kijani/ njano.
Siigizi wala kujifanyisha ni kweli CCM imenifanya nijikute nakuwa na allergy na rangi hizo.hata nikimuona girlfriend wangu kavaa moja ya rangi hizo huwa nahsi kumchukia.
Najua siwezi kuibadili lakini nimeona tu niliseme hili,nimekosa vingi zizuri kwa sababu ya kuwa hasira na rangi hio!!...
Hata kama kitu kilikuww kizur kias gani nikishaona hizo rangi naishiwa nguvu...