Mihadarati

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
536
Nashindwa kuelewa hili zoezi la kudhibiti dawa za kulevya!Kila nikikutana na habari utaona dawa za kulevya aina ya bangi imeteketezwa!Sasa ninajiuliza maswali mawili
1. Hivi hawa mateja wanaotafutiwa sober houses walivurugwa na bangi.Na bangi ndio inayohitaji methadone?
2.Kama sio mbona sisikii kuteketezwa kwa Heroine Cocaine wala Brown sugar?

Kweli ile nguvu ya kupambana na dawa hizo imeweza kubaini kuwa bangi ndio dawa za kulevya na kuharibu vijana kwa alosto!au zile zenye arosto hazikamatwi au zinakamatwa kimyakimya!!!!

Kindly
Regard
Mwanajamvi
2.4.2017
 
Back
Top Bottom