Eti hivi ni kweli hii kuhusu walimu watakaotoka sekondary kwenda msingi?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
72d423e4ce9c299ff5df860c0bf548af.jpg

WALIMU WOTE WENYE DIPLOMA YA KISWAHILI,HISTORY,GEOGRAPHY NA LANGUAGE WAKAFUNDISHE SHULE ZA MSINGI" SHULE ZA SEKONDARY NI KWA AJILI YA WALIMU WENYE DIPLOMA YA MASOMO YA SAYANSI NA WALIMU WA ARTS WENYE DEGREE ANGALAU GPA YA 3.7 AND above.
 
Hiyo picha yamaanisha nini?

Anyway, naona una wasiwasi na hofu sana. Ngoja nikuliwaze mdogo wangu.

"hakuna kitu kama hicho ticha, na hata kama kipo wewe utabakizwa sekondari "

By the way pole sana. Mkiambiwa kujiendeleza msiwe mnadengua, ona Sasa hofu Kuanzia kichwani mpaka kwenye visigino"
 
kusema kweli sielewi nchi yetu inaenda vipi,
yani mtu kwasababu ana madaraka flani basi anafanya tu anachokita yeye
watu wemesoma kwa malengo yako ya kimaisha, mtu anachuka diploma yake ya education akiwa na malengo na anajua fika akimaliza hapo anaenda kufundisha level gani
sasa nchi yetu hii inatoa tu maagizo bila hata kuangalia hali za watu,
nawaonea sana walimu kwa level zao zote, sijui kama nitakuja kumshauri mwanangu asomee hii kitu
 
Tumeipenda wenyewe.. Ngaa.. Ngaa

Chaguo letu wenyewe.. Ngaa.. Ngaa

Nawavimbe wapasuke.. Ngaa.. Ngaa..

Waacheni waandamanee.. Eeenh.. CCM mbele kwa mbelee
 
kusema kweli sielewi nchi yetu inaenda vipi,
yani mtu kwasababu ana madaraka flani basi anafanya tu anachokita yeye
watu wemesoma kwa malengo yako ya kimaisha, mtu anachuka diploma yake ya education akiwa na malengo na anajua fika akimaliza hapo anaenda kufundisha level gani
sasa nchi yetu hii inatoa tu maagizo bila hata kuangalia hali za watu,
nawaonea sana walimu kwa level zao zote, sijui kama nitakuja kumshauri mwanangu asomee hii kitu
hapa hawajaangalia malengo ya mtu. wameangalia faida ya elimu yetu. hapa tutamkumbuka mama ndalichako.
 
sawa wameangalia faida ya elimu na itasaidia sana uko mbeleni, lakini kwanini iwe gafla gafla kama hivo bwana... kama sio kukurupuka
ilikuwa vizuri kama wangeanza iyo kitu na intake zinazokuja, hawa wasasa na diploma zao wangeendelea na kufundisha sekondari
 
Hiyo picha yamaanisha nini?

Anyway, naona una wasiwasi na hofu sana. Ngoja nikuliwaze mdogo wangu.

"hakuna kitu kama hicho ticha, na hata kama kipo wewe utabakizwa sekondari "

By the way pole sana. Mkiambiwa kujiendeleza msiwe mnadengua, ona Sasa hofu Kuanzia kichwani mpaka kwenye visigino"
Ni kweli.zoezi hilo linaendelea mkoani ARUSHA.na baadae mikoa mingine.
 
Back
Top Bottom