Orthorgarphic assimilation, hii ni kuchukua Maneno kutoka lugha chansi kuyapeleka katika target languageJe ule uandishi wa lugha ya kingereza au kiarabu katika matamshi ya kiswahili linguistically huwa unaitwaje?? Mfano kiarabu الله inaandikwa 'Allah' ili kuitamka kiswahili. Tuanzie hapo kwanza.