Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni wiki ya 2 sasa Wauzaji wa jumla, Riquor stores na mabaa hayana Konyagi ndogo na ile Valeur ya chupa. Au ndio na zenyewe mmezipiga ban? Maana walipofungia viroba, hizi chupa ndogo ndogo ndio...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu IGP kwanza nikupe pole kwa msiba huu mzito huu msiba niwetu. Kila mtanzania ameguswa na tukio hili . hakuna mtanzania anaye wezafurahia juu ya kuuwawa kwa ndugu zake imetuumiza sana. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi waungwana. Nimefika kijijini kwetu kwenda kutembea hatimae nikaenda kwenye cha father kanieleza shida yake ya kuhuaiana na printer kwamba haileti moto. Sasa naomba msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, waliokuwepo tumeshuhudia haya!!!
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Mwalimu juliusi Mkapa Mrisho Mseven Mgabe Mbeki Nk....
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Taarifa ya habari lakini wanaweka makala ya mtoto anayefundisha wenzake karibu robo saa.. Sasa hakuna habari ingine ya maana zaidi ya huyo mtoto...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu watumishi wa Mungu nawasalimu kwa jina la Yesu. Napenda kuchukua fursa hii kutoa ushauri kidogo juu ya huduma mnayoitoa. Mimi si mtaalam sana wa kupangilia mambo lakini najua kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Usiniulize nimejuaje.. Ama kwanini nimeuliza.. Ama hawapendani katika mlengo gani.. Kila sehemu ya maisha tu wao hawapendani. Mifano iko mingi na haihitaji degree ya Sociology kuelewa hili...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu, huyu ni member mwenzetu hapa JF amefiwa na mtoto wake leo saa 10 jioni wakiwa njiani kumpelekwa hospitali. Chanzo: Mimi mwenyewe niko eneo la tukio. Wakuu kesho nitaweka hapa siku ya...
6 Reactions
113 Replies
7K Views
Nawatakieni Pasaka Njema ndugu zangu watanzania. Tusisahau kuniombea taifa na viongozi Wetu. Tusisahau kujitathimini upya ktk Maisha yetu mawazo na matendo yetu. Mi nitakuwepo nyumbani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yanga Jana wameayaaga rasmi mashindano baada ya kufungwa mabao matatu Kwa sifuri, licha ya kujitahidi na kupata ushindi hapa nyumbani, ukiangalia tuu Kwa jicho pevu utaona yanga hawakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah maana!!!
0 Reactions
2 Replies
972 Views
habari waungwana nnatafuta Music systerm aina ya Sony Model ZUX10D Kama inavyoonekana kwenye picha
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili swali ukiwauliza wengi watakupa majibu yasiyo sahihi na kati yao tena wasomi kabisa watakwambia dereva mzuri ni yule asiyesikiliza abiria wake wanasemaje[emoji779] [emoji779] [emoji779]sahihi...
12 Reactions
80 Replies
19K Views
Ni chuo kilichoasisiwa na baba wa taifa hayati mwalm JK Nyerere miaka ya 1960 kwalengo la kufundusha maadili kwaviongozi wa umma.kwa wakati huo kilijulikana kama chuo cha kivukoni.chuo hiki...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Ni majuma machache yamepita, jukwaa la Wahariri pamoja na Wamiliki WA vyombo vya habari waliweka msimamo wa kumsusia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa chochote kile, hususani kumpa coverage...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Imenichukua siku kadhaa nikiwaza ni lini Waziri Mwigulu Nchemba na IGP Mangu watajiuzuru au kufutwa kazi. Vifo vya askari wetu kwa kuuliwa na majambazi umekuwa wimbo usiokoma. Yalipotokea mauaji...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu ningependa kujua ule ujenzi wa kiwanja cha ndege chato ulioanza kwa speed ya roket miezi kama tisa iliyopita, sasa umefikia wapi? Walioko uko chato mtutupie hata ma selfie ya liuwanja la...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari ya Pasaka wana jamvi wa jf. Baada ya salam nina machache yananipa mashaka juu ya weledi kiutendaji wa jeshi latu la polisi. Kwanza nalaani vitendo vya mauaji ya askari wetu kwa namna...
21 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…