illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Maeneo ya mbagala charambe nilisikia sauti kubwa za milipuko kama ya silaha za moto mida ya saa tano usiku ambayo ililia mara tatu kama kuna mtu anajua kilichojiri taarifa tafadhali.
Sijaleta habari, nimeuliza, naona tunaanza kupangiana muda wa kuandika, kama hujui nyamaza.Yaani toka SAA tano usiku , habari ndo watuletea SAA hizi?
Nimekuuliza tu,Sijaleta habari, nimeuliza, naona tunaanza kupangiana muda wa kuandika, kama hujui nyamaza.
Yeye ameuliza kama unajua eleza kama hujui subiri wanaojua siyo vizuri kushutumu hasa katika kipindi ambacho tumeshuhudia matukio ya kutisha.Yaani toka SAA tano usiku , habari ndo watuletea SAA hizi?
sasahivi matukio kama hayo yakitokea tunasema, "tuwaachie jeshi la polisi wafanye kazi yao"Jamani waje tu wanaojua
Hahahahaha asikudrive bhana we ndo dereva wa Muda wakoSijaleta habari, nimeuliza, naona tunaanza kupangiana muda wa kuandika, kama hujui nyamaza.
Nashangaa hajui kuwa mimi sipangiwi. ngoja nicheki na polisi mkoa (ilala) ntaleta mrejesho.Hahahahaha asikudrive bhana we ndo dereva wa Muda wako
Nashangaa hajui kuwa mimi sipangiwi. ngoja nicheki na polisi mkoa (ilala) ntaleta mrejesho.