NAWAKARIBISHA KUJA KUPIMA AFYA

NAWAKARIBISHA KUJA KUPIMA AFYA

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,052
Karibuni Eternal International kuja kupima afya ( body checkup) bure kabisa Kwa Siku ya kesho,
Tupo posta mpya Benjamin Mkapa Tower -Mezamine

Tupigie 0714547830 Kwa maelezo zaidi na kuja kupokelewa endapo utapotea
 
Asante mkuu kwa offer. Ila kwa nini bure? Funguka
 
mhi,sijawahi ona kitu cha bure toka nizaliwe. always there is a price to pay if not today, tomorrow
Mkuu siku zingine unalipia ila kesho kampuni imetoa ofa, nimeona nishee nanyi kwakuwa nimepata taarifa
 
Back
Top Bottom