Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Sijaelewa siku zote ni kwa nini kwenye wimbo wetu wa Taifa tunaanza na Mungu Ibariki Afrika halafu ndiyo tunamuomba aibariki Tanzania yetu? Kwa nini tusimuombe aibariki Tanzania yetu kwanza, halafu ndiyo aifikirie Afrika? Yaani kwa nini ubeti wa KWANZA usiwe kuiombea TZ yetu kwanza, halafu wa Pili ndiyo uwe kuiombea Afrika iliyobakia?