Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,916
Magazeti karibu yote ya leo yameongelea habari ya vyeti vyeki yaani habari ya watu 9000 wenye vyeti feki ndio ime-make headlines na sio habari ya uzinduzi wa hostel za UDSM.
Kingine walichoonyesha uzalendo wahariri siku ya leo ni kuweka picha za majeneza ya askari waliouwawa kikatili katika front page na sio picha za majengo ya hostel za UD wala picha ya mh.akizindua majengo hayo isipokuwa gazeti la Uhuru ndio lina picha hiyo ya mh.wakati anazindua hostel hizo.
Hata hivyo, habari kubwa katila ukurasa wa mbele wa gazeti hilo la Uhuru nayo ni kuhusu idadi hiyo ya vyeti feki na sio habari ya uzinduzi wa hostel wala uwekaji msingi katika ujenzi wa nyumba za Magomeni Kota.
My take:
Hapa waandishi bila shaka watakuwa wameungana kutuma ujumbe kwa mkulu kuwa uzinduzi huo si issue kubwa sana kama kukaa na Bashite mwenye vyeti feki.