Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Serikali ya Tanzania isilale, kuna tatizo kubwa sana la uvamizi la wageni humu nchini hasa wakenya na Wanyarwanda. Mbaya zaidi hawa watu wameanza kujiita watanzania wenye asili ya kichaga. Wengine ni mashushushu (spies). Wiki mbili zilizopita, pale kwenye kisiwa cha Mbudya, kulikuwepo na wakenya kama 20 waliokuwa wakichukua picha za video za watanzania waliokuwa eneo hili wakiogelea. Hili ilileta mnyukano ambapo baadhi ya watanzania walikuja juu na kuhoji iweje picha zao zichukiliwe bila idhini yao kutumia drone? Kwa dharau kubwa hawa wakenya walidai wana haki ya kupiga picha popote ndani ya Tanzania
Kuna trend kubwa ya wakenya kwenye kila sekta, na wengi hasa ofisi za umma, na hasa private sector kujiita Wachaga. Wapo kwenye vyuo vyetu wanachukua mikopo. Kadhalika na wanyarwanda wanajiita waha. Nadhani ni muda muhafaka kwa serikali kuchunguza hili swala la hawa wageni. Siyo vibaya kuwakaribisha wageni, kwani nasi tunaenda nchi za wengine, ila utaratibu ukafuatwa wa uhamiaji.