Pamoja na Kuwa na shahada moja toka chuo kinachoitwa cha kata ila nibahoja moja ambayo wenye ELIMU kutika Havard na vyuo vya taifa Tanzania waniambie majibu yake
1.Utakuta SHULE za msingi kuna swali mzungu wa kwanza kugundua ziwa Victoria aliitwa nani?
2.Mzungu wa kwanza kugundua mlima Kilimanjaro aliitwa nani?
3. Mzungu wa kwanza kugundua mgodi wa Mwadui wa Almas aliitwa nani?
4.Mzungu wa kwanza kugundua MTO Nile aliitwaje?
HAYA NI MIONGONI MWA MASWALI YA KIPUMBAVU YALIYO WAHI KUULIXWA HAPA TANZANIA. KAMA KUNAMTU ANAMAMLAKA ANIAMBIE NIMTAJIE HADI MJI WANGU AJE ANIKATE HAPA TARIME ANIFUNGE JELA.
kugundua Maana yake Discoveries Sass kudiskava kitu, ni kutengeneza kitu ambacho hakikuwepo awali, hakikujulikana na mtu yeyote.
Sasa hivyo vitu havikuwepo hadi wazungu walivyo vigundua? Kuna Mzungu mmoja alijiita eti kagundua America aliitwa Christopher Columbus!!!!! .Kwani kama asingefika isingekuwepo?
Kuna mwingine Alisema eti kagundua ziwa Victoria, ina Maana kabla hajaja Ziwa Victoria halikuwepo?
WAACHE UJINGA!! IFIKE WAKATI TUSEME SASA BASI, BORA TUWE MASKINI KULIKO KUPELEKESHWA KAMA WATUMWA.