Upi Utajiri na mali za mh. Rais Magufuli?

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
11,137
19,880
Ndugu wana jamvi kwa utulivu na upendo napenda kuweka hoja ya mjadala wa Mali na asset anazomiliki mh. rais wetu,
ni kwa nia njema kabisa yeyote achangie.

NB. maneno ya kejeli na majina yasiyo rasmi ( mf. bashite) yasitumike ili tuweke Uzi huu kuwa na viwango vya kimaadili na heshima kwa taifa
 
Ah, jamani mbona tunapotezeana muda. Ni rahisi sana ukitaka kujua Mali za mtumishi wa umma nenda tume ya maadili ukiona huko hutapata msaada unaouhitaji nenda Takukuru, kama huko kote hutapata msaada mshukuru Mungu kisha KAA KIMYA.
 
anamiliki kebby's, bashite yaani fa fa fa, pia anamiliki PHD feki. pia ni mmiliki wa nchi ya kufirika ijulikanayo kama tanzania, naskia iko bara flani liko mbali sana limejaa wanafiki.
mkuu your post is irrelevant prior to warning given above, hatutaki chuki za kisiasa Bali kubainisha Mali za nsinzonje.
 
Ah, jamani mbona tunapotezeana muda. Ni rahisi sana ukitaka kujua Mali za mtumishi wa umma nenda tume ya maadili ukiona huko hutapata msaada unaouhitaji nenda Takukuru, kama huko kote hutapata msaada mshukuru Mungu kisha KAA KIMYA.
sawa lakini huu ni mjadala wa jamvini sio kwenda maofisini kumpeleleza nsinzonJe
 
Back
Top Bottom