Kweli una akili za ki bashitewewe hujui kiswahili, jifunze mji ukiwa mkubwa unaitwa jiji na kijiji kikiwa kikubwa kinaitwa mji mdogo
Same here mkuu, nilikimbia nikijua ninasuuza roho na ubuyu wa pili pili.Kumbe ulikuwa unamaanisha ubuyu mti na matunda yake! Nilifungua thread haraka nikijua kuna stori kali toka dodoma!
Tehe tehe tehe mimi nilidhani ubuyu wa SHILAWADUwakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?
Hahahaha! Sky Eclat!Same here mkuu, nilikimbia nikijua ninasuuza roho na ubuyu wa pili pili.
kama unahitaji ni pmwakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?