Dodoma: Kati ya Manispaa na CDA nani mkubwa wa mwenzake?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Manispaa wanajenga uzio wa standi ya mabasi ya mkoa(FENSI) .. CDA wameuwekea X.. Wajuvi mtuambie nani ni mkubwa hapa anayepaswa amuheshimu mwenzake..
20170417_085528.jpg
20170417_085528.jpg
20170417_085523.jpg
20170417_085436.jpg
20170417_085552.jpg
 
Mamlaka ya ustawishaji wa mji wa Dodoma... CDA, Anayejua kirefu chake kwa kiingereza aniambie
 
Hapo CDA ndo mwenye rungu la kupangilia makao makuu,manispaa lazima wakae.
 
Back
Top Bottom