Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamii..naomba mwenye ujuzi wa kuboost page ya facebook anijuze jamani....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi mmeona wapi steji ya kuperform ambayo haina taa? Hivi inawezekana vipi flash ya wasanii inagoma kusomeka? Hayo yametokea jana kwenye kwenye Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Msama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nina mtoto wa mwaka mmoja na ninaishi maeneo yenye baridi basi kila nikimvalisha nepy akikojoa unapenya hadi nguo ya juu na soks zinaloa. Naomba kujua diper ambazo hazina madhara...
0 Reactions
49 Replies
31K Views
Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana. Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana.
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Matukio ya uvunjifu wa sheria za usalama Bara barani bado yanaendelea kuoteza nguvu kazi ya Taifa wakiwemo Vijana wazee na watoto huku wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu na wengi kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Shule ya Sekondari Mvuti iliyopo Wilayani Ilala-Dar yakabidhiwa nyumba za walimu na kampuni ya Watumishi Housing (WHC)
0 Reactions
6 Replies
5K Views
“Kansa iliyopo katika vichwa vya viongozi wetu barani Afrika kuwa maendeleo ya nchi zao hayawezi kufikiwa bila kujua lugha ya Kiingereza ni mbaya kwa kuwa inawanyima watu fursa nzuri ya kuelewa...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Hali ya Serikali ya sasa si rafiki kwa uwekezaji Tanzania kutokana na mazingira yaliyoonekana kuwa mazuri awamu iliyopita kutoweka ghafla na kuacha wawekezaji wengi njia panda huku wengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tujikumbushe... baadhi ya matukio ambayo tuliipashwa kupata majibu yake ila tulishasahau...kama vile hakuna kilichotokea... 1.Bomu lililolipuka Arusha katika mkutano wa chadema 2.Richmond wausika...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Ndugu zangu watanzania, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ilikuwa ndo kimbilio la mamilioni wa Kanda ya Ziwa na sehemu nyingine nchini. Kweli ilikuwa ikitoa...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Najiuliza kila siku ila sipati majibu. Hivi inakuwaje kuhusu hizi fedha tunazozihifadhi kwenye mitandao ya simu, warithi wa marehemu wanapata stahili zao mara mtu anapofariki? Hii ni kwa sababu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TOL, Tanzania Oxygen Ltd imekuwa ikivuna Carbon Dioxide pale Mlima Kyejo ka miongo sasa. Cha kushangaza hakuna chochote kinachoonyesha wananchi wa Kyejo kufaidika na uchimbaji wa gesi hii. Hii ni...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Habari ndugu zangu, Mwenzenu nina changamoto moja; Nina login vizuri tu kwenye Computer, lakini kwenye Simu na iPad Password inakataa. Nimejaribu kureset lakini sipati Email ya JamiiForums...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Habari wadau Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salam WanaJamvi! Kwa wale wakazi wa Jiji la Dar ni wazi kwa kila siku zinavyoenda ndivyo agizo la Mkuu wa Mkoa la kufanya usafi kila siku za jumamosi linavyozidi kupoteza mvuto. Ni wazi mwitikio...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
"kibaya zaidi nimefikishwa kituoni centro RPC ananiambia una bahati tumekukamata asubuhi watu wanaonalakini ungekamatwa usiku MTU yoyote asione tungekupoteza" Anasimulia:Mdude Nyagari a.k.a. Sumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana...
19 Reactions
134 Replies
14K Views
Hiki ndicho kilichonifanya nianze uzi bila salaam kutokana na vitendo visivyo vya kizalendo vya askari polisi kupiga na kuumiza raia ambao sisi tunasema kuwa hawana hatia. Baada ya kutokea...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Hello Gentleman and ladies, Kwa muungwana anayejua website ipi naweza kupata hiyo Gari tajwa please msaada .hasa hasa Uingereza wakuu wa nchi .KUWENI na usiku mwema wapendwa ,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…