TTCL mnatufanya hatulali na toboa bando, harakisheni kusambaza mtandao nchi nzima

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
TTCL kwa kweli mmenifurahisha na bando lenu la toboa hatulali tunakesha kwenye torrents. Yaani buku kwa 10GB kuanzia saa 6 ucku kwa kweli ni raha tupu.

Ombi langu kwenu harakisheni kusambaza mtandao nchi nzima soko la mobile bado liko wazi kama mimi sijaweka bando mtandao mwingine nna mwezi sasa. Nipo Mwanza huku ni full kuenjoy.
 
TTcl chini ya uongozi mpya wa waziri waziri kindamba mang'ana inogile vifurushi kedekede hongereni karne ya 4G ya ukweli.
1. Boom Pack (Intaneti )
Kifurushi cha BOOM PACK(intaneti) kinatoa fursa kwa wanafunzi wa Vyuo kuendelea kufurahia huduma ya Intaneti yenye kasi na bei nafuu zaidi.

2. Boom Pack (Intaneti +Sauti+SMS)
Kifurushi cha BOOM PACK kinatoa fursa kwa Wanafunzi wa Vyuo kuendelea kufurahia huduma ya intaneti; kupiga simu TTCL-TTCL bila kikomo, kupiga simu mitandao mingine na kutuma ujumbe mfupi(SMS).

3. Kifurushi cha Toboa (Intaneti tu)
Kifurushi cha Toboa Pack, ni kifurushi ambacho kinatoa fursa kwa wateja kupata huduma za Intaneti tu kwa bei nafuu kuanzia saa 06:00 usiku hadi saa 12:00alfajiri.

4. Longa ndani (TTCL‐TTCL)
Huduma hii inatoa fursa kwa wateja kupata huduma ya kupiga simu TTCL kwenda TTCL kwa bei nafuu.

5. Longa kotekote (Mitandao yote)
Huduma hii inatoa fursa kwa wateja kupata huduma ya kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa bei nafuu.

6. Chati Kijanja (SMS tu)
Huduma hii inatoa fursa kwa wateja kupata huduma ya kutuma ujumbe mfupi(SMS) kwenda mitandao yote kwa bei nafuu.

7. Wazawa Pack (Sauti & SMS)
Huduma hii inatoa fursa kwa wateja
 
TTCL kwa kweli mmenifurahisha na bando lenu la toboa hatulali tunakesha kwenye torrents. Yaani buku kwa 10GB kuanzia saa 6 ucku kwa kweli ni raha tupu.

Ombi langu kwenu harakisheni kusambaza mtandao nchi nzima soko la mobile bado liko wazi kama mimi sijaweka bando mtandao mwingine nna mwezi sasa. Nipo Mwanza huku ni full kuenjoy.
Bado wapo kwenye matangazo ya kuuboresha mtandao so hiyo ni njia ya kuzidi kupata wateja
 
Back
Top Bottom