hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,138
- 7,286
Mambo vipi wana jf...
Nimeamua kuwa mzalendo kwa kusapot kampuni mama ya simu TTCL...
Nataka kutumia lain zao za simu kwa data na voice
Sasa swali langu kwao ni kwamba waniambie niamie mtaa gani hapa dar es salaam ambako naweza kuenjoy 4G yao vizuri....
Kwa sasa naishi goba mwisho na cha ajabu nimeweka line yao hata network bar moja hakuna...
Nikipanda juu ya nyumba kinaongezeka kimoja then nikishuka kinakata.
Niko tayari kuingia gharama za kuhama endapo wataniambia nikiamia mtaa flan au sehemu flan huduma zao nitazipata vizuri
Siwezi kuuliza hili swali kwa mitandao mingine kwa sababu kila mtu anajua 4g zao zinavyopatikana sehemu kubwa dar es salaam
Nawasilisha