John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 414
Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira