Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania labour party (TLP) taifa ,Agustino Mrema amemshtaki kwa wananchi mbunge wa Jimbo la vunjo James Mbatia kwamba ameshindwa kutekeleza ahadi alizoahidi ikiwemo swala la miundombinu na amekuwa haonekani bungeni kwa kipindi kirefu kupeleka kilio chao.
Aliwataka wananchi watathmini kauli aliyoitoa mbatia kuwa yeye ni mgonjwa na asichaguliwe ambapo Mrema alihoji ugonjwa unaomsumbua Mbatia na kumfanya asishiriki shughuli za maendeleo jimboni kwake na kudai kuwa Mbatia ndio mgonjwa na kuwataka wananchi wamkatae