Angalia rank ya Chuo alichosoma mwanao/nduguyo halafu jiulize kwanini hana ajira

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,266
2,000
ORODHA MPYA YA UBORA WA VYUO VIKUU TANZANIA

1 University of Dar Es Salaam

2 Sokoine University of Agriculture

3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences

4 Mzumbe University

5 Mkwawa University College of Education

6 Open University of Tanzania

7 Hubert Kairuki Memorial University

8 Saint Augustine University of Tanzania

9 University of Dodoma

10 DAR University Kampala International University of Uganda Dar es Salaam

11 Ardhi University

12 State University of Zanzibar

13 Nelson Mandela African Institute of Science & Technology

14 Weill Bugando University College of Health Sciences

15 Tumaini University Makumira University College

16 Institute of Finance Management

17 Dar Es Salaam Institute of Technology

18 University of Iringa

19 Saint John's University of Tanzania

20 College of Business Education

21 Institute of Accountancy Arusha

22 Mount Meru University

23 Kilimanjaro Christian Medical University College

24 International Medical & Technological University

25 Teofilo Kisanji University

26 Zanzibar University

27 Mbeya University of Science & Technology

28 Mwalimu Nyerere Memorial Academy

29 Arusha Technical College

30 University of Bagamoyo UoB Dar es Salaam

31 Sebastian Kolowa Memorial University

32 Muslim University of Morogoro

33 University of Arusha

34 Dar es Salaam University College of Education

35 St Joseph University in Tanzania

36 Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College

37 Moshi Co-operative University

38 Tanzanian Training Centre for International Health

39 Archbishop Mihayo University College of Tabora

40 St Francis University College of Health and Allied Sciences

41 Jordan University College

42 Stella Maris Mtwara University College

43 Sumait University

44 Ruaha Catholic University

45 Tumaini University Dar es Salaam College

46 Tumaini University Institute of Agriculture

47 Josiah Kibira University College

48 United African University of Tanzania

49 Mwenge Catholic University

50 Tanzania International University
 

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
Umeandika kwa kushirikisha akili yako au makalio?. Sahamani lakini mkuu. This is just a list of Tanzania universities and not otherwise. Siku nyingine uwe unajiuliza maswali kadha wa kadha. Hii text inasambaa aana kwenye whatsapp groups. Sasa wewe umekuja na viazi vikurupushi kupaste hapa kwa GT.
 

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,012
2,000
UDSM ina matawi matatu
1. Mlimani
2 DUCE
3.Mkwawa
Sasa hii ranking inavyoita vyuo vikuu kamili wakati ni vyuo vikuu vishiriki nashindwa kuelewa.

Fafanua,na ushirikishe kichwa
 

The Ape

JF-Expert Member
May 9, 2014
336
500
Hivyo,waliohitimu udsm wako kwenye ajira?... kwa kuwa ni chuo bora zaidi Tanzania.

Au waliohitimu Tanzania international university hawana ajira? Kwa kuwa ni chuo kisicho bora Tanzania.

Mwisho wa siku,maji ufata mkondo... Mwenzio anamaliza Eckernforde Tanga university unamkuta ni afisa wa jeshi,wewe na degree yako ya udsm unalia ajira.

Siku hizi pesa haiongei pesa ina apa... Mwenzako anaambiwa kasome tu chochote mwanangu ajira ni kuhonga tu,wewe unatafuta kozi za kipaumbele na unarudi kusugua kitaa.

Ajira ni kitendawili... Hakiangalii wewe ni kutoka udsm au teku... Ukiwa na pesa,bahati na channel basi utapata.
 

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
UDSM ina matawi matatu
1. Mlimani
2 DUCE
3.Mkwawa
Sasa hii ranking inavyoita vyuo vikuu kamili wakati ni vyuo vikuu vishiriki nashindwa kuelewa.

Fafanua,na ushirikishe kichwa
Ndiyo nikasema huyu jamaa kaleta thread nila kushirikisha kichwa chake. Siyo kila kitu lazima ukopi na kupesti. LaZi.a ujiulize Mara mbili mbili ikiwemo na kusoma reliable sources.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom