floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Habari vipi wandugu,
Hebu tubadilishane mawazo kidogo najua katika maisha kila mtu ana njia yake ya utafutaji lakini kuna kazi zingine moja kwa moja zinajulikana ni za kike katika jamii.
Tumzungumzie mtoto wa kiume anaefanya kazi saluni ya kike na kazi yake imekua kusuka nywele wanawake. Pia tumzungumzie jamaa ambae kazi yake imekua ni kupika wali, ugali yaani yeye ni mpishi katika mgahawa.
Pia tumzungumzie jamaa ambae kazi yake amegeuka baamedi kuuza vinywaji baa.
MIMI BINAFSI HUWA NASHTUKA SANA NIKIWAONA KATIKA KAZI HIZO VIPI MITAZAMO YENU WAKUU