MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Hii ni kazi ya miezi minane kwa bajeti ya bilioni 10.
Kuna baadhi ya watu ambao mindset zao ni rushwa/ufisadi hawakubali au kuamini kama bilioni 10 inaweza kutumika na kuleta matunda tunayoshuhudia kwa sasa.
Rais Magufuli is the man!
Changamoto itakayojitokeza kwa sasa ni utunzani wa mabweni hasa kwa ndani.
Baada ya changamoto moja kumalizika, kwa sasa changamoto iliyoko mbele ni utunzani.
Penye nia pana njia na kupanga ni kuchagua.
Polepole tutafika tu!
Rais Magufuli na Mama Magufuli wakiangalia samani ndani ya mabweni.
Jaji Joseph Warioba na Rais Magufuli wakibadilisha mawazo baada ya kukagua mabweni mapya USDM.