Lusinde-CCM ameishauri serikali kuanzisha dawati maalum litakaloshughulikia upotevu wa watu nchini

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde-CCM ameishauri serikali kuanzisha dawati maalum litakaloshughulikia upotevu wa watu nchin
Screenshot_2017-04-21-08-19-50.png
i-
 
Yaani Watekaji waanzishe Dawati la kushughulikia watu wanaopotea nchini!!

Yaani Kesi ya Nyani unapelekwa kwa ngedere?
 
Baba yake na Ben Saanane aliniambia maneno haya .... Ben ni mwanangu sio mbuzi yangu , nisaidieni kumtafuta mwanangu , moyo wangu unauma..Godbless J .Lema

Lusinde ndo ametoa huo ushauri akili zimeshaanza kurudi.
 
Back
Top Bottom