chiumbimnungu
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 151
- 217
Ukinambia walienda pale pasipo mwaliko wowote kutoka ikulu au ofisi ya Mkuu wa Mkoa nakataa Kabisa. Nina hakika wale wasanii wote wa bongo movie walienda pale kwa mwaliko maalumu.
Swali langu ni je walienda pale kunogesha ufunguzi wa hostel kwamaana sijaona wakiigiza labda kutoa burudani yoyote zaidi ya kuwaita majina na Makonda na kuwatolea dhihaka tu.
Nilitegemea labda wangekuwa wa mziki ili watumbuize kidogo pale.