zamtaya_pr
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 140
- 45
Jana kulitokea taarifa ya kuwahitaji wafanyakazi wote makao makuu na wa Mikoani kuwakilishwa na viongozi wao.
Kikao kimemalizika kwa neno kutoka kwa MD kwamba zaidi ya wafanyakazi 100 kupunguzwa kutokana na hali ya kampuni na uchumi kwa ujumla.
Tuwaombee ndugu zetu hawa walipokee kama lilivyo na ntaendelea kuwaletea yanayojili zaidi.