Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,037
- 2,839
Kuna uzi nimepitia humu JF unaeleza kuwa ajira za TRA ni utajiri na neema mpaka mkoani kwenu. Wamefikia kusema kuna kabila lilitajirika kwa kuajiriwa TRA wakajipelekekea Maendeleo ya Maji, Umeme, Hospital ,Shule na Barabara. Eti sasa hilo limerekebishwa kabila hili hawataajiriwa tena TRA na wasilalamike, wataajiriwa makabila mengine waliokuwa nyuma kimaendeleo.
Watumishi wa taasisi hii hulipwa fedha kutoka wapi tofauti na watumishi wengine? Kama wote wanasoma UDSM, IFM, SAUT fani za wahasibu, wachumi, mhr, chuo kimoja na wakapata shahada siku moja ya fani sawa inakuwaje wa TRA anaonekana ndiye yuko kwenye nyasi za kijani kuliko mhasibu wa Halmashauri, wizara mwenye sifa za elimu sawa?
Ombi langu naomba kuajiriwa serikalini kwa watu wenye sifa zinazofanana iwe ni shift au mzunguko. Kwa mfano wahasibu wote wa halmashauri wahamishiwe TRA na wale wa TRA wahamishiwe Halmashauri au serikali kuu ili kuondoa hasira na chuki kwa wananchi wanaona wamepewa Ajira kwenye Nyasi Kavu.
Hata hivyo mimi nimeishi kipindi cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa sikuwahi kusikia haya yaliyoibuka enzi hii ya kusema taasisi Fulani watumishi wake wamepata ajira kwa Ukabila!!! Huko Muhimbili wamejazana PRO, Dr wa kanda hiyo inayokomeshwa hawalalamikiwi.