BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
??????Huyo anayepimwa jicho huko Kigoma atakuwa salama tu!!!
Tabora kama mkoa ni kati ya mikoa mibaya sana kufanya uwekezaji wa aina yoyote ile na zaidi kibiashara. Ni mkoa ambao hata mama ntilie anatekwa tena na wenye bunduki.
Ni mkoa ambao ukifungua ka mradi ka 50,000 tayari unaanza kuingia kwenye rada za wezi na majambazi. Tabora kibanda cha chipsi kuvamiwa tena mchana kweupe si hajabu, achia mbaya Maduka na sehemu za kuchukua na kutumia pesa kwa njia ya simu (m-pesa, airtelmoney n.k)
Kwa ujumla haipiti mwezi mmoja bila kusikia sehemu kumevunjwa, kumevamiwa na watu kadhaa wamekula shaba. Tabora wanaijua wenyewe wazaliwa wa pale na hili limeufanya huu mkoa usikue na kuchangamka kifursa za biashara. Mda wote unapigiwa hesabu waje wakuibie.
So sad jamani, mijitu mingine maendeleo hayataki kabisa ehh Mola nenda kakutane na hiyo mijambazi na uwipe magonjwa ya ajabu ajabu wafe wote kwa mpigo ili nchi yetu Tanzania tupate maendeleo jamani!Tabora kama mkoa ni kati ya mikoa mibaya sana kufanya uwekezaji wa aina yoyote ile na zaidi kibiashara. Ni mkoa ambao hata mama ntilie anatekwa tena na wenye bunduki.
Ni mkoa ambao ukifungua ka mradi ka 50,000 tayari unaanza kuingia kwenye rada za wezi na majambazi. Tabora kibanda cha chipsi kuvamiwa tena mchana kweupe si hajabu, achia mbaya Maduka na sehemu za kuchukua na kutumia pesa kwa njia ya simu (m-pesa, airtelmoney n.k)
Kwa ujumla haipiti mwezi mmoja bila kusikia sehemu kumevunjwa, kumevamiwa na watu kadhaa wamekula shaba. Tabora wanaijua wenyewe wazaliwa wa pale na hili limeufanya huu mkoa usikue na kuchangamka kifursa za biashara. Mda wote unapigiwa hesabu waje wakuibie.
weee sijakuelewaHuyo anayepimwa jicho huko Kigoma atakuwa salama tu!!!
Basi kunatatizo kubwa mkuu maana mpk mama ntilie anavamiwa na majambazi hii ni zaidi ya hatari,lkn inamaana hawa watu majambazi hawafahamiki au uko hakuna majeshi yakulinda raia na mali zao?
Hapa mkuu hata sijuhi kabisa yaani ni vituko tu. Niliwahi kusikia wale jamaa huwa wanahusika sana na hizi mambo. Ni kamchezo kenye mizizi mikubwaBasi kunatatizo kubwa mkuu maana mpk mama ntilie anavamiwa na majambazi hii ni zaidi ya hatari,lkn inamaana hawa watu majambazi hawafahamiki au uko hakuna majeshi yakulinda raia na mali zao?
Mkuu ujambaz haupo siyo kikwazo cha maendeleo kama ingekuwa hivyo bas kenya isingekuwa ni nchi yenye maendeleo zaid E.AfricaTabora kama mkoa ni kati ya mikoa mibaya sana kufanya uwekezaji wa aina yoyote ile na zaidi kibiashara. Ni mkoa ambao hata mama ntilie anatekwa tena na wenye bunduki.
Ni mkoa ambao ukifungua ka mradi ka 50,000 tayari unaanza kuingia kwenye rada za wezi na majambazi. Tabora kibanda cha chipsi kuvamiwa tena mchana kweupe si hajabu, achia mbaya Maduka na sehemu za kuchukua na kutumia pesa kwa njia ya simu (m-pesa, airtelmoney n.k)
Kwa ujumla haipiti mwezi mmoja bila kusikia sehemu kumevunjwa, kumevamiwa na watu kadhaa wamekula shaba. Tabora wanaijua wenyewe wazaliwa wa pale na hili limeufanya huu mkoa usikue na kuchangamka kifursa za biashara. Mda wote unapigiwa hesabu waje wakuibie.
Wakimbizi hao wa Burundi wamejaa Sana hapo.
Tabora-binti kibaka kijana kibaka hiyo ndio mboka manyema inatisha.